Car4Sale Nauza Nissan X-trail

Car4Sale Nauza Nissan X-trail

wabungenjaa

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2014
Posts
1,782
Reaction score
336
Iko poa, namba B na haina tatizo lolote. Hakika ukiichukua umepata chombo. Bei mil 10.
Colour light green
engine capacity 1998 cc.
fuel type😛etrol
person capacity:8 passengers
location: Dar es salaam
Mileage:103,022
registration no.T....BCX
Contact
0713 62 56 26
 
Jaza hivi vitu mara moja.
THE CAR: NISSAN XTRAIL .......

Chesis no: .............

Engine no: .............

Colour no: .............
Colour: .............

Registration NUMBER: T.............
Model code: .............
Fuel: .............
YEAR OF MFG: .............
Engine cc: .............
MILLEAGE: .............
LOCATION : .............
CONTACT: .............

Hapo mnunuzi anaweza pata picha.tofauti na hapo ni utapeli wa madalali
 
Asante wakuu kwa ushauri: tahadhari. Hakuna udalali katika hili wala hakuna utapeli. Gari ni ya mleta mada. Uko huru kusema uletewe uione ukague.
 
Jaza hivi vitu mara moja.
THE CAR: NISSAN XTRAIL .......

Chesis no: .............

Engine no: .............

Colour no: .............
Colour: .............

Registration NUMBER: T.............
Model code: .............
Fuel: .............
YEAR OF MFG: .............
Engine cc: .............
MILLEAGE: .............
LOCATION : .............
CONTACT: .............

Hapo mnunuzi anaweza pata picha.tofauti na hapo ni utapeli wa madalali
Asante mkuu nita attarch soon
 
aisee jaza form y mshikaji hapo juu

Sawa but mengine ni unnesessary. Watu walioko serious have contacted me. Vitu mhm kwny gari ni no. Hii ni no B. Engine ambayo utakagua the moment unaiona. Im the real owner. Ntaweka hizo details mkuu
 
Nipe no ya whasap nikurushie picha
huyo mmoja utakayemrushia picha Whatsapp asiponunua gari utamrushia mwingine atakayeomba? Kwa nini usiweke hapa picha?

Unauza kitu halafu kinakuwa siri utadhani kimepigwa sehemu. Elimu ya usajasiliamali ndogo sana nchini.

Halafu sio kila mtu anataka kutoa namba zake za simu kwenye mitandao humu kwa ma stranger. Unataka kufanya serious transaction ya milioni 10 halafu kuweka picha mzembe!
 
Ntaweka kesho. Hapa natumia simu.may be ufaham mdogo wa it technology but naahidi kuweka picha.gari ni yangu na mimi sio mpigaji. Nyie wapigaji mna hofu ya kuingiliwa field yenu
 
Nini kinakuzuia kuweka picha, usitushawishi kufikiri usangoma unahusika, kwamba mnunuzi akitokezea mbele yako hachomoki. Weka picha bwana.
 
Jaza hivi vitu mara moja.
THE CAR: NISSAN XTRAIL .......

Chesis no: .............

Engine no: .............

Colour no: .............
Colour: .............

Registration NUMBER: T.............
Model code: .............
Fuel: .............
YEAR OF MFG: .............
Engine cc: .............
MILLEAGE: .............
LOCATION : .............
CONTACT: .............

Hapo mnunuzi anaweza pata picha.tofauti na hapo ni utapeli wa madalali

Hivi madalali ni matapeli eeh? Walishawahi kukuliza babu?
 
Back
Top Bottom