wabungenjaa
JF-Expert Member
- Feb 21, 2014
- 1,782
- 336
Iko poa. Namba B.haina tatizo lolote. Hakika ukiichukua umepata chombo.bei mil 10. Contact
0713 62 56 26
Asante mkuu nita attarch soonJaza hivi vitu mara moja.
THE CAR: NISSAN XTRAIL .......
Chesis no: .............
Engine no: .............
Colour no: .............
Colour: .............
Registration NUMBER: T.............
Model code: .............
Fuel: .............
YEAR OF MFG: .............
Engine cc: .............
MILLEAGE: .............
LOCATION : .............
CONTACT: .............
Hapo mnunuzi anaweza pata picha.tofauti na hapo ni utapeli wa madalali
Asante wakuu kwa ushauri: tahadhari. Hakuna udalali katika hili wala hakuna utapeli. Gari ni ya mleta mada. Uko huru kusema uletewe uione ukague.
Nipo somalia unaweza niletea niione na kukagua mkuu?
Nipo somalia unaweza niletea niione na kukagua mkuu?
aisee jaza form y mshikaji hapo juu
Usisahau na picha za gari za ndani na nje
huyo mmoja utakayemrushia picha Whatsapp asiponunua gari utamrushia mwingine atakayeomba? Kwa nini usiweke hapa picha?Nipe no ya whasap nikurushie picha
Ntaweka kesho. Hapa natumia simu.may be ufaham mdogo wa it technology but naahidi kuweka picha.gari ni yangu na mimi sio mpigaji. Nyie wapigaji mna hofu ya kuingiliwa field yenuhuyo mmoja utakayemrushia picha Whatsapp asiponunua gari utamrushia mwingine atakayeomba? Kwa nini usiweke hapa picha?
Unauza kitu halafu kinakuwa siri utadhani kimepigwa sehemu. Elimu ya usajasiliamali ndogo sana nchini.
Halafu sio kila mtu anataka kutoa namba zake za simu kwenye mitandao humu kwa ma stranger. Unataka kufanya serious transaction ya milioni 10 halafu kuweka picha mzembe!
Sawa but mengine ni unnesessary. Watu walioko serious have contacted me. Vitu mhm kwny gari ni no. Hii ni no B. Engine ambayo utakagua the moment unaiona. Im the real owner. Ntaweka hizo details mkuu
maskini kama wewe huwezi kuandika zaidi ya ulivoandika apa. kuchafua tu tangazo la mwenzenu. chuki mbaya sana. tumia ubongo vizuri mkuuwangekuwa serious wangenunua
maskini kama wewe huwezi kuandika zaidi ya ulivoandika apa. kuchafua tu tangazo la mwenzenu. chuki mbaya sana. tumia ubongo vizuri mkuu
Jaza hivi vitu mara moja.
THE CAR: NISSAN XTRAIL .......
Chesis no: .............
Engine no: .............
Colour no: .............
Colour: .............
Registration NUMBER: T.............
Model code: .............
Fuel: .............
YEAR OF MFG: .............
Engine cc: .............
MILLEAGE: .............
LOCATION : .............
CONTACT: .............
Hapo mnunuzi anaweza pata picha.tofauti na hapo ni utapeli wa madalali