NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 11,297
- 14,588
ZINAKUJA NA CHAJA NA HEAD PHONE?!!!Laini mbili
Mkuu punguza nichukue PC 20Hapana zina chaji tu
rudia kusoma tena hapo juu ameweka maelezo mengi ikiwemo swali ulilouliza.Mkuu bei ya jumla inaanzia pisi ngapi
Sahihi mkuu nilikuwa sijaweka umakini ktk hili πππrudia kusoma tena hapo juu ameweka maelezo mengi ikiwemo swali ulilouliza.
Ok asante boss ntakuchekNi og boss wangu