NimekuelewaHizo simu ndogo ni vizuri ukawa na duka mfano mteja yupo tegeta wewe upo kariakoo gharama za kumpelekea zinameza tropical
kama unajua bei za simu ndogo hata simu kubwa utajua wanaouza simu ndogo asilimia kubwa ndo hao hao wanauza simu kubwa
Namba weka kwenye post ya kwanza kabisaNamba 0682697124
Pow boss....nakuombea kila la kheri,ukipata wateja wa mkoani utapiga pesaHapana boss jumla tsh18,000 tajiri
Uliuziwa na mimi boss...mbon bongo ustaarabu zero
Leteni bidhaa halisi, acheni huu ujanja ujanja.Asa bidhaa zinatofautiana inatakiwa umwambie aliye kuuzia bidhaa so unakuja kwenye post za watu unacomment ujinga bro