Nauza Notes za Microsoft Office

Gutapaka

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2015
Posts
283
Reaction score
218
Nauza notes za Microsoft word nimeelezea Kila kitu kwa picha hatua kwa hatua, Ni nzuri kwa watu wote wanaotaka kujifunza na waliojifunza.

, Ufafanuzi Commands zote katika Lugha ya Kiswahili isipokuwa Majina ya tabs yamebaki kwa Kiingereza.

Gharama Ni Tsh. 5000 piga simu 0685-513-806 ili kununua na utazipata kwa E-mail au WhatsApp.

Kifuatacho Ni:-
1. Excel (Itapatikana baada ya wiki 2)
2. Power Point (Baada ya Mwezi)
3.Access ( Wiki ya mwisho ya mwezi wa pili).

Karibuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…