House4Sale Nauza nyumba Chanika mwisho. Sh. Mil 22, ina vyumba 3 vya kulala

nyumba kali aisee!!πŸ‘Ώ ngoja waje wenye nazo!!!
 
Uko chin ya bei , pole mkuu yawezekan ni challenge ume face πŸ‹β€πŸŸ©πŸ€’
 
Ka 🏠 kako πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯.
Ngoja wenye mpunga waje.
 
I wish ningejua kati ya nyumba inayouzwa na hilo pagale jirani, ni nano aliyeanza kujenga! Maana sijona kabisa mantiki ya kujenga karibu hivyo, huku kiwanja kikiwa na sqm 400!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…