House4Sale Nauza nyumba Kigamboni Mikwambe Mil 67

House4Sale Nauza nyumba Kigamboni Mikwambe Mil 67

Kahtan Ahmed

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
765
Reaction score
490
Asalaam alaikum wanajamii forum

Nauza nyumba ambayo namiliki mwenyewe sio dalali 0762987034
Ina vyumba vitatu viwili masters
Ina sebule, dinning, jiko , fensi
Ni nyumba ya pili toka barabara kuu ya lami.

Umeme na maji tayari.
Bei Million 67 ilq maongezi yapo karibuni.
Asanteni sanna.

IMG_1889.jpg

IMG_1895.jpg

IMG_1904.jpg

IMG_1902.jpg

IMG_1900.jpg

IMG_1899.jpg

IMG_1901.jpg
 
Habari mkuu ningependa kufahamu kama kiwanja kime pimwa , na kina hati na je ni cha ukubwa gani ?
 
Habari mkuu ningependa kufahamu kama kiwanja kime pimwa , na kina hati na je ni cha ukubwa gani ?
kiwanja kimepimwa ila process zake hazijaisha tumewekwa pending, ukubwa wa kiwanja ni sqm 300
 
Back
Top Bottom