Dalali wa mjini
JF-Expert Member
- Oct 5, 2024
- 326
- 464
Habari maboss wangu.
Ni Mimi Kwa mara nyingine tena nakuletea nyumba hii ipo Mbagala kibulugwa.
Kiwanja hiki kina nyumba mbili ndani ya fensi.
Hapa unaweza kufanya uwekezaji wa Lodge Kali sana mana nyumba ipo katika ya mtaa na magari yanapita hapa boss.
Lakini ukiamua wewe mwenyewe ukarabati ule Hela ya wapangaji Ni wewe boss.Maana boss hapangiwi maamuzi lakini anashauriwa Tu.
Fungua video kwa kuangalia ukubwa wa nyumba na mazingira ya mtaa.
Sqm 516
Hati serikali ya mtaa
Bei milion 85 Cash.
📞 0754693556