Acha kudanganya...picha inayoonesha hayo madirisha ya grill ikwapiKamera iliyopiga picha tu sio nzuri madirisha ni ya grill, mchwa hawawezi Kila chuma
Acha kudanganya...picha inayoonesha hayo madirisha ya grill ikwapi
Hii nyumba mali yako au wewe dalali?Nauza nyumba Morogoro Kihonda Veta (Yespa) ina vyumba vinne Kati ya hivyo viwili ni self, sitting room, dinning na stoo.Nyumba bado haijafanyiwa finishing. Ukubwa wa kiwanja Cha nyumba hiyo ni Sq mita 1,100. Kwa mahitaji piga 0755630063 au 0654309320