Nauza nyumba ya dada yangu - old nguvumali tanga

DaPilly

Senior Member
Joined
Mar 2, 2012
Posts
181
Reaction score
68
Hi colleagues,
Ninauza nyumba ya dada yangu, ipo Old Nguvumali Tanga, ina Offer.3 bedrooms i.e. 2 bedrooms na 1 Master bedroom, sitting room and dinning room. Its about 3/4 of an acre. For more information please contact 0713 611 584.

Ahsanteni

Da Pilly
 

Bei ya kuanzia dada, tupia na picha zisaidie kuthaminisha?
 
We Pili ni kwa nini unataka kuuza nyumba ya dada yako? Yeye mwenyewe yupo wapi?
 
Weka bei dada

Milioni mia moja maongezi yapo. Bei imezingatia nyumba ipo Prime area - eneo kubwa kama uko vizuri kifedha waweza badili hiyo offer ukafanya commercial and residential ukajenga apartments ukala hela!!!!
 
We Pili ni kwa nini unataka kuuza nyumba ya dada yako? Yeye mwenyewe yupo wapi?

ukipiga hiyo namba unaongea na mwenye nyumba, mie sio dalali, ni dada yangu nimemwambia a-join jamii aiuze kasema hana muda!!!!!
 
Bei ya kuanzia dada, tupia na picha zisaidie kuthaminisha?

Bei ya kuanzia ni milioni 100, mazungumzo yapo, nyumba ipo prime area hiyo, kama uko vizuri kwenye econimic predictions Tanga Bandari hiyo inayotarajiwa kujengwa ukinunua nyumba au kiwanja kama utabadili eneo hilo ukajenga apartments nyingi eneo hilo inalipa.
 
Othewise tulie hatuna hela, ukipeleka Business plan, hati, mchoro say wa hoteli katika benki yoyote Tanzania hii kama unapata hicho kiwanja inalipa!!!!
 
HAYA KWAHERINI NIMESHAWASAIDIA KUWAFANYIA ANALYSIS!!!! ntakuwa ninawachaji ushauri wangu sasa, kuwauzia nyumba niwauzie, tathmini ya matumizi ya kiwanja niwape, punguzo niwape heeee????? mwisho nitaanza kuwauzia skwea mita moja elfu hamsini!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…