House4Sale Nauza nyumba yangu Chanika

Baba ummu

Member
Joined
Jul 31, 2022
Posts
33
Reaction score
26
Habari Wana jf

husika na kichwa cha habari juu, nauza nyumba chanika, njiapanda ya nyeburu upande wa mkono wa kulia ukitokea ngongolamboto, ipo jirani na shule ya DOCTOR ELIMU, ina vyumba viwili vya kulala kimoja wapo ni master, sehemu ya chakula na sebule ya kutosha, ina fensi upande mmoja ambao gari ndogo hata tatu zinaingia, ina umeme, pia kuna kisima cha maji ya baridi ndani ya fensi.

Nipigie:0620 240 161,wasup
NB: Mimi ndo mwenyewe sio dalali


 
Sema unauza Banda/shelter lako chanika au uwanja mkuu.
 
Tatizo Chanika kuna ushirikina kupita kiasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…