House4Sale Nauza nyumba

Hello nauzaa nyumba andagraund mbezii kwa msugulii msingwa 0753225046 mali halali karbuni
Mwali, nakushauri uweke picha ya nyumba ikiwa na muonekano wa nje, ndani, ubavuni, mbele nk.
Pia weka bei unayo anzia ili iwe rahisi kwa muhitaji kuwasiliana na wewe na kuanza mazungumzo.
 
Nimependa hii kwasababu na kiwanja cha helkopta kipo. Na bei yake sio mbaya. Trillion 2 pamoja na kupata speed boat kama bonus naona ni sawa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…