nauza nyumba

Fortunatus Buyobe

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2011
Posts
463
Reaction score
1,127
wadau nina nyumba yangu nauza maeneo ya chanika dar es salaam,nimeezeka kwa bati za msouth ina vyumba vinne sebule mbili car parking na nimeshajengea matank ya choo.inahitaji finishing tu.umeme na barabara ya rami vipo karibu.nipigieni 0714655869
 
Nyumba ni mradi unajiendesha wenyewe.
Kwanini waiuza mdau. Au unahitaji pesa haraka?
 
Au umegundua hilo eneo ni open space nini, tuhabalishe mkuu sio tunaingia kichwa kichwa then wewe una kula kubwa
 
Kaingia mitini,anasubiria simu!mkubwa weka bei,weka picha,ndio tangazo linakamilika!sio tuunguze crdt zetu kumbe milion 200!
 
mkuu ntakupm mana kuna kila sababu za kuuza nyumba ukiacha za kufulia.
 
kiwanja kimepimwa?ina hati....weka picha basi mkuu,wateja hawaji hivi hivi....
 
Serikari ipo kwenye mchakato wa kupima bt nina hati ya makazi inayotambuliwa na serikali ya mtaa.call me pliz!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…