Gari iko vizuri sana na haina tatizo lolote
Ina 4wd
AC iko safi
Automatic gear
Inatumia petrol
Power windows
Model ya mwaka 1997
Bei ni milioni 9 tu.
Angalia picha ukipenda karibu tufanye biashara 0656497469 ......Gari ipo Dar kigamboni ila kama wewe ni mnunuzi serious gari inaweza kuletwa popote