INAUZWA Nauza pallet za mbao

Faka25

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2021
Posts
1,738
Reaction score
1,134
Habari wanaForums,

Nauza pallet kwa matumizi mbalimbali. Zinapatikana Mwanza, pasiansi. Bei kwa kila pallet ni Tsh.5000 kwa maelezo zaidi: 0672883431

 
Me niko Moro nazihitaji ntazipataje
 
Kwa morogoro itakua mbali kwenye usafiri mkuu.
 
Zinatumika kufanya nn hizo mkuu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

Hizi zinatumika kiwandani kubeba kret za bia au soda,ambapo fork lift inabeba mzigo mkubwa kupanga kwenye gari au kushusha.pia zinaweza kutumika katika matumizi mbalimbali ,Karibu
 
Pallet zipo nyingi sana Karibuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…