Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Kwa seti ni 38. Ila ukitaka pisi, pisi ni 13000Kwa kila moja ukimaanisha set au kwa kila piece ya pazia?. Dirisha Lina mapazia 3 kwahio hapa moja 13,000? Au hii set moja ndio 13,000?
Hizo mita bos ni 12,500. Mita 2 elf 25,000Nataka pazia zile nzito kabisa
Siyo hizi nyepes
Mita Bei gani?
Safi sana
Zipo mkuu. Karibu mnooMkuu hizo nzito mimi natafta pink yake je unazo?
Blanket Kwa sasa hapana. Lakin tunategemea kuwa nazo soon. Tutaenda china wenyeweBlanket unazo??