Nauza perfume cha kuchanganywa/za kupima

Spinster

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2012
Posts
487
Reaction score
138
Habari wapenda urembo na utanashati. Nauza perfume za kupima au kuchanganywa, kama Kuna perfume unaipenda na uwezi kuimudu bei basi sisi tunakuuzia kwakukupimia kwa bei rahisi kabisa, kama unahitaji nipm Aina ya perfume bei zetu zinaanzia 8000, 10000,15000,20000, n.k unapimiwa na kuwekewa kwenye chupa maalumu,pia hata kama unahitaji nzima unapata
 
[emoji848] [emoji848] Nitakuja mnielekeze namna ya kuchanganya ili niweke mchanganyiko wangu naopenda.
 
Habari wapenda urembo na utanashati. Nauza perfume za kupima au kuchanganywa, kama Kuna perfume unaipenda na uwezi kuimudu bei basi sisi tunakuuzia kwakukupimia kwa bei rahisi kabisa, kama unahitaji nipm Aina ya perfume bei zetu zinaanzia 8000, 10000,15000,20000, n.k unapimiwa na kuwekewa kwenye chupa maalumu,pia hata kama unahitaji nzima unapata
Mko wap
 
bei gani hii perfume wana nzengo
20181204_175921.jpeg
 
Hizi perfume sisi tunaziita za kudungwa na sindano, hata nikikaa na mtu aliyejipulizia hiyo perfum nitapiga chafya tu
 
Back
Top Bottom