[emoji848] [emoji848] Nitakuja mnielekeze namna ya kuchanganya ili niweke mchanganyiko wangu naopenda.
Mko wapHabari wapenda urembo na utanashati. Nauza perfume za kupima au kuchanganywa, kama Kuna perfume unaipenda na uwezi kuimudu bei basi sisi tunakuuzia kwakukupimia kwa bei rahisi kabisa, kama unahitaji nipm Aina ya perfume bei zetu zinaanzia 8000, 10000,15000,20000, n.k unapimiwa na kuwekewa kwenye chupa maalumu,pia hata kama unahitaji nzima unapata
Unaua biashara ya watu[emoji23].
Nataka kuchanganya na maji ya betri.
Apo sasa umesema,utanukiaje.
Nitanuka na kunukia.
Vipi nikichanganya na maji ya samaki!Utanikia.
Vipi nikichanganya na maji ya samaki!
Utafatwa Na nyau.
bei gani hii perfume wana nzengoView attachment 955993