INAUZWA Nauza picha za ukutani

Ninaomba unichoree maisha ya asili, mfano mama anachota maji, kuku wako nje ya nyumba ya nyasi au watoto wanacheza chini ya mwembe.
Haina shida kaka, ila hizi ni za kuprint kwahiyo ntakuprintia picha ya aina yoyote ile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…