INAUZWA Nauza picha za ukutani

Kama nimepiga picha scene yangu moja matata kwa kutumia simu, unaweza ukaniprintia zile bezelless frame? Kama jibu ni ndio inakuwa bei gani?
Inawezekana,, Unahitaji picha kwa ukubwa upi mkuu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…