INAUZWA Nauza piki piki fekon power 150,iko vizuri bado. (used)

kawombe

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2015
Posts
14,239
Reaction score
15,876
Nilinunua piki piki kwajili ya matumizi binafsi kwenye shuguli zangu za kila siku.
Kwa sasa nimepata usafri mwingine kwajili ya shuguli zangu.
Na mimi ndio mwenyewe piki piki hii na hakuna dalali.iko kwenye hari nzuri sana
Bei laki 9 cash
Karibuni hii piki piki iko DAR ES SALAAM.





Tuwasiliane kupitia PM kwa mwenye kuhitaji.
Asanteni
[emoji120]
...............................UPDATE................................
Napenda kuchukua nafasi hii kushukuru kwa JF kuniunganisha na mteja wa piki piki hii.
Asante mteja wangu kwa uaminifu wako kwng na mali yangu. Kama tulivyo ongea kwa lolote lile linalo husu biznes hii usisite kuwasiliana na mimi.
Asante JamiiForums
Asante mteja.
 
Nko mkoani lakin nimeitamani!tunafanyaje mkuu!?
 
Ooooo ungekuwa Mkoani tungewasiliana tukafanya biashara
 
Mbona picha unapiga za pembeni,plate number hutaki ionekane,shida nini?
Weka namba ya simu kwenye tangazo,hofu ya nini?
 
Laki tisa nyingi sana chukua sita fasta
 
Laki tisa nyingi sana chukua sita fasta,weka plate no. tuione
 
Mkuu kama kweli upo serious nicheki nina laki sita 600000 cash nicheki pm MKUU NIPO SERIOUS USIPUUZE
 
Mbona picha unapiga za pembeni,plate number hutaki ionekane,shida nini?
Weka namba ya simu kwenye tangazo,hofu ya nini?

Mali ni yangu sina cha kuogopa Napia iko full document.
Siuzi namba nausa PIKI PIKI
 
Ingekuwa nzuri usingeuza we sema tatizo lililopo tuje tununue
 
Mali ni yangu sina cha kuogopa Napia iko full document.
Siuzi namba nausa PIKI PIKI
Unaleta maneno ya shombo
Wewe ni dalali au unauza ya wizi,hakuna pikipiki iliyokamilika bila plate number,acha ubashite!!
 
Pikipiki unauza kweli?toka nmeomba namba-pm lakini kimya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…