Mbona tire kama used mkuu au ilikuwa desperate baada ya kukosa mteja anyway naweza kuifunga gas iwe kama rocket au niibadilishie matumizi ikokotwe na punda au ng'ombe.mkuu huyu ni mjapan New model ina week mbili tangu iingie sokoni
Hahahahahahahahaha daaaaahNi full boxed, njoo ukague, haitumii mafuta inatumia damu kama zile za kwenye Wrong turn, ni automatic.
NOTE: mm ni dalali muuzaji(mwenye uzi) kaniomba nimsaidie kuiuza
View attachment 1155458
Naikubali sana hii kitu,Ni full boxed, njoo ukague, haitumii mafuta inatumia damu kama zile za kwenye Wrong turn, ni automatic.
NOTE: mm ni dalali muuzaji(mwenye uzi) kaniomba nimsaidie kuiuza
View attachment 1155458
CBR inaspeed mpaka 288km/h, kijana alikuwa anataka kufutaShida ilikuwa nini?alikuwa anaendesha hovyo au hiyo boda ndio ilikuwa inasababisha ajali?
Ohoooo!!!CBR inaspeed mpaka 288km/h, kijana alikuwa anataka kufuta