miss chuga
JF-Expert Member
- Dec 25, 2019
- 303
- 660
OHabari zenu wapendwa? Nauza pikipiki aina ya sanLG kwa bei ya 1,000,000 iko pouwa sana haina tatzo, kwa anayehitaji anitafute kwenye no 0679484825 nipo dodoma
Sent using Jamii Forums mobile app
Picha hizo apo deiwaka alikuwa mwaribifu kachana siti hapo ni kushonea tu macover menginePicha no muhimu kuliko hata ulichokiandika
O
mkuu hii chuma si napishanaga nayo kibaha imekula gunia za mkaa kama 4 itakiwa imechoka sana kula laki5
Sent using Jamii Forums mobile app
Kula lak7
mkuu hii chuma si napishanaga nayo kibaha imekula gunia za mkaa kama 4 itakiwa imechoka sana kula laki5
Sent using Jamii Forums mobile app
tatzo sio jina pikipiki tatzo imetumika sana imekuwa kama baiskel tuWe lak 5 unazngua imekuwa baiskel changamkiei fursa vijana ajira hamna nunua ufanyie biashara
Sent using Jamii Forums mobile app
Picha hizo apo deiwaka alikuwa mwaribifu kachana siti hapo ni kushonea tu macover mengine View attachment 1318099View attachment 1318101
Sent using Jamii Forums mobile app