memory card
JF-Expert Member
- Dec 17, 2013
- 256
- 163
Piga picha ya pikipiki yote. Hiyo picha yako nusu inaleta mashaka makubwa.liko fresh na linapiga starter, gia 5 namba ARP.
Ipo laela-sumbawanga hapa kutoka tunduma ni saa 1 tu.
Mawasiliano: 0625522261
View attachment 2604492
mbali boss wangukula 250k mkuu
iwe ngapi boss ndo sawa naweza kutafakariMmh laki 5? Hii si sawa,labda kama unauza chasis tu.
Umeambiwa 250,000/-iwe ngapi boss ndo sawa naweza kutafakari
hiyo hapanaUmeambiwa 250,000/-