INAUZWA Nauza pikipiki aina ya Skymark

INAUZWA Nauza pikipiki aina ya Skymark

MFS

Member
Joined
Nov 16, 2016
Posts
17
Reaction score
6
Nauza pikipiki aina ya skymark,

Ina documents zote, Nilikuwa naitumia kwa matumizi yangu binafsi.

Sababu ya kuuza: nina hama kikazi

Bei, 700,000
Napatikana Kimara
MYXJ_20161219143835_fast.jpg
MYXJ_20161219143850_fast.jpg
 
Tuma picha ya muonekano wake kwa sasa ,
 
Ina matatizo gani?

Ina muda gani tangu uinunue?

Vipi kuhusu upatikanaji wa spare zake?

Nikiridhika na majibu kula 600,000 cash.
 
Ina matatizo gani?

Ina muda gani tangu uinunue?

Vipi kuhusu upatikanaji wa spare zake?

Nikiridhika na majibu kula 600,000 cash.
Mkuu ina mwaka, upatikanaji wake wa vifaa kuna maduka ya skymark ambayo yanauza vifaa vyake. Kwa dar kuna duka lipo kariakoo na mnazi mmoja ndio makao makuu yao. Lakini pia mikoani kuna branch zao.

Njoo uione tufanye biashara
 
Hujajibu suala la uzima wake mkuu. Nataka nijue nikinunua nafanya service ya gharama gani.
 
Hujajibu suala la uzima wake mkuu. Nataka nijue nikinunua nafanya service ya gharama gani.
Mkuu hiyo pikipiki haina tatizo lolote zaidi kubadilisha oil tu. Nilikuwa naitumia mwenyewe kwa hiyo nilikuwa naifanyia service mara kwa mara.
 
Back
Top Bottom