Ina tatizo gani mkuu? Naomba picha tafadhaliMwenye kuhitaji pikipiki au nikamchomolea vifaa vyovyote anavyohitaji vya pikipiki ya Mahindra tuwasiliane tafadhali
Haina tatizo kiongozi, sema tu nimehamia karibu na maeneo ninapofnyia Kazi,kwaiyo siitumiii Mara kwa MaraIna tatizo gani mkuu? Naomba picha tafadhali
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Mahindra mwenyewe amekubali uuze pikipiki yake.....Mwenye kuhitaji pikipiki au nikamchomolea vifaa vyovyote anavyohitaji vya pikipiki ya Mahindra tuwasiliane tafadhali
Weka bei ya hiyo pikipikMwenye kuhitaji pikipiki au nikamchomolea vifaa vyovyote anavyohitaji vya pikipiki ya Mahindra tuwasiliane tafadhali
Nimeku pm mkuuMwenye kuhitaji pikipiki au nikamchomolea vifaa vyovyote anavyohitaji vya pikipiki ya Mahindra tuwasiliane tafadhali