Brother Jof
Senior Member
- Nov 5, 2018
- 114
- 153
Habari wadau.
Ninauza pikipiki yangu mwenyewe, natumia kwa route za kwenda kazini tu.
Aina; Boxer 125.
Usajiri; CMP lakn kama mpya ubora wake.
Location; Kipawa Dar.
Hali yake; Nzuri sana,engine haijawah kabisa kuguswa ina nguvu kama mpya.
Document: zote zipo.
Bei ya kuanzia 1,550,000 pungufu kidogo njoo tuongee.