Brother Jof
Senior Member
- Nov 5, 2018
- 114
- 153
Habari wadau.
Ninauza pikipiki yangu mwenyewe, natumia kwa route za kwenda kazini tu.
Aina; Boxer 125.
Usajiri; CMP lakn kama mpya ubora wake.
Location; Kipawa Dar.
Hali yake; Nzuri sana,engine haijawah kabisa kuguswa ina nguvu kama mpya.
Document: zote zipo.
Bei ya kuanzia 1,550,000 pungufu kidogo njoo tuonge
Huyu jamaa sijui yukoje. Namba ya simu hajaeka wala PM hajibuHabari wadau.
Ninauza pikipiki yangu mwenyewe, natumia kwa route za kwenda kazini tu.
Aina; Boxer 125.
Usajiri; CMP lakn kama mpya ubora wake.
Location; Kipawa Dar.
Hali yake; Nzuri sana,engine haijawah kabisa kuguswa ina nguvu kama mpya.
Document: zote zipo.
Bei ya kuanzia 1,550,000 pungufu kidogo njoo tuongee.
View attachment 2114318