INAUZWA Nauza pikipiki iliyotumika

INAUZWA Nauza pikipiki iliyotumika

Mwita Mtu Mrefu

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
739
Reaction score
1,113
Habari Jf.

Nimeamua kusimama na hii biashara ya kuuza pikipiki used.

Pikipiki zote ziko na document kamili. Unaweza fuatilia Police kwa kujiridhisha zaidi kuepuka usumbufu kwa baadae.
Kuna san lg, fekon, boxer tvs

Napatikana Dar es salaam.

Mawasiliano yangu ni 0744033555 nitafute any time

Fuatana nami katika huu uzi

Hii hapa san lg 125-5
Unaipata kwa laki 8 kamili fixed.
Wahi mapema


IMG-20210109-WA0025.jpg
IMG-20210109-WA0027.jpg
 
Fekon.
950,000 only
 

Attachments

  • IMG-20210109-WA0045.jpg
    IMG-20210109-WA0045.jpg
    85.4 KB · Views: 8
  • IMG-20210109-WA0026.jpg
    IMG-20210109-WA0026.jpg
    62.3 KB · Views: 8
Boxer na tvs picha zake hazionekani kabisa mkuu ebu tuma pcha nyingine
 
Back
Top Bottom