Fundi umeme
Senior Member
- Jun 17, 2016
- 116
- 24
Kwa sababu ni yakeNa kwanini unauza?
Pikipiki yenyewe unauza shilingi ngapi na hayo mayai yapo kiasi gani jumla au rejareja.Nauza pikipiki aina ya fekoni mayai ni mpya kabisa sifa za pikipiki inatembea na haina tatizo lolote INA vibali vyote na unapewa na risiti kabisa imetumika kwa miezi 6 tu kwa matumizi ya kwendea kazini na kurudi tu bei ni million moja maongezi yapo mawasiliano 0753505115 na 0715505115.View attachment 912574View attachment 912575
Ila watu wengine sijui huwa mnawaza nini kwenye vichwa vyenu,hizo kebei si nzuri hasa kuingili uzi wa mtu alie serious na wakati huna hata uwezo wa kufanya lililopo badala yake unaleta uhanisi wako kwenye biashara ya mtu,shame on you guys.Pikipiki yenyewe unauza shilingi ngapi na hayo mayai yapo kiasi gani jumla au rejareja.