Nauza pikipiki sawa na bure

Mfuko wa shati nina 400,000. Chukua ukimbie haraka usigeuke nyuma nisije ghairi.
 
Umasikini ni kitu kibaya sana. Ndiyo maana kwa upande wangu niliuchukia tangu enzi za utoto.
Jifunze kubalance shobo,
Mind your business, tusingefika huku..
Haikuhusu pita kimya, inaemfa atanunua..
Sio kubeza biashara ya mtu.sio tabia njema period.
 
Jifunze kubalance shobo,
Mind your business, tusingefika huku..
Haikuhusu pita kimya, inaemfa atanunua..
Sio kubeza biashara ya mtu.sio tabia njema period.
Masikini akipata....!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…