C Conroy Senior Member Joined May 23, 2014 Posts 158 Reaction score 44 Jul 31, 2014 #1 ni pikipiki yangu aina ya toyo kwa matumiz ya biashara ya bodaboda bado nzima bila tatizo lolote ipo kwenye hali nzuri imetumika miezi michache na kulipiwa kila kitu. niPM kama upo serious nipo dar
ni pikipiki yangu aina ya toyo kwa matumiz ya biashara ya bodaboda bado nzima bila tatizo lolote ipo kwenye hali nzuri imetumika miezi michache na kulipiwa kila kitu. niPM kama upo serious nipo dar
L LUTAMBI JF-Expert Member Joined Jun 1, 2012 Posts 233 Reaction score 103 Jul 31, 2014 #2 Miezi michache ndo nn! Kama ni chini ya miezi mi4 niPM.