Nauza pikipiki yangu Hunter DEC na eneo la carwash

Brother Jof

Senior Member
Joined
Nov 5, 2018
Posts
114
Reaction score
153
Habari wakuu.
Tafadhari rejea kichwa cha mada.
Ninauza pikipiki yangu niliyokua natumia kwenda kazini yenye usajiri namba DEC bei Tsh 1,250,000 iko katika hali nzuri sana haijaguswa engine kabisa
Pia nina eneo langu la carwash lililo eneo potential ilibaki miezi mitatu ya kodi 2500per day, Kuna mashine ndogo ya kuoshea, Tank la 1000lt na Banda la kupumzikia. Jumla nahitaji 650,000Tsh
Sababu ya kuuza ni kuhama mkoa na kukosa usimamizi
Vyote hivi vinapatikana Eneo la Kipawa/Aiport Dar es salaam, Karibuni kwa mazungumzo
 
Mzigo bado upo?
 
Tunakupataje? nimeipenda pikipiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…