EJM_
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 3,836
- 2,100
Habari, kwa wale wapenzi wa games ninazo play stations 2 pieces 2 zikiwa chipped kwa maana ya kuwa hutahitaji kutumia cd Ila utapata flash yenye games 10 zikiwemo FIFA nk.
Ukitaka kutumia cd hiyo itakuwa kwa mapenzi yako tu. Bei ni Tzs 150,000 kwa moja. Kwa watakaopenda naomba wani pm tuone namna ya kufanya biashara
Ukitaka kutumia cd hiyo itakuwa kwa mapenzi yako tu. Bei ni Tzs 150,000 kwa moja. Kwa watakaopenda naomba wani pm tuone namna ya kufanya biashara