Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,663
Kiwanja kiko mfano wa box, Square meters 396 ni jumla ya eneo lote ya hicho kiwanja mkuu, Urefu na upana upo huko huko ndani yake!
Chukua 5mKiwanja kiko mfano wa box, Square meters 396 ni jumla ya eneo lote ya hicho kiwanja mkuu, Urefu na upana upo huko huko ndani yake!
Sent using Jamii Forums mobile app
396 sq. M = 13 million TZS??? Wakati 1290 sqM Olasiti nimepata kwa 6.5mmbona ghali sana?
Nikatie hapo room 4396 sq. M = 13 million TZS??? Wakati 1290 sqM Olasiti nimepata kwa 6.5m
mbona ghali sana?
Mkuu njoo Murieti huku watu wanauza mpaka 3m watu hawana pesa kabisa unaokota tuNikatie hapo room 4
Murieti ni wapi mzee?Mkuu njoo Murieti huku watu wanauza mpaka 3m watu hawana pesa kabisa unaokota tu
Naona kama Murieti kumeshakuwa squater Sana.....Uswahili mwingiOkay
Wamejaa Wapare na wasambaaNaona kama Murieti kumeshakuwa squater Sana.....Uswahili mwingi
Kiwanja kiko mfano wa box, Square meters 396 ni jumla ya eneo lote ya hicho kiwanja mkuu, Urefu na upana upo huko huko ndani yake!
Sent using Jamii Forums mobile app