Nauza Plot TABATA segerea eneo halijapimwa lina ukubwa wa sq metre 589 urefu 27 upana upande mmoja ina 18 mwingine 22 bei ni 20 million mazungumzo yapo umbali toka kituo cha daladala hadi kwenye eneo ni mt 900 it's just a walking dustance unaweza wasiliana nami kwa namba 0622-027490!