INAUZWA Nauza Printer na Laptop

Kingthe

Senior Member
Joined
May 12, 2018
Posts
105
Reaction score
90
Nauza printer ndogo ya canon pamoja na laptop window surface 8 pro
processor i 5 core,4Gb Ram,memory 128 ina crack kidogo juu pembeni mwa kioo lakini inafanya kazi vizuri kabisa.bei tsh230,000
printer bei 120,000
vinapatikana Gongo la Mboto Dar es Salaam.
call: 0652595942.


 
Mimi nina desktop kubwa ina hard disk gb 500 inaweza ikatumika kwenye shughuli mbalimbali hasa za cd na nyingine nyingi vipi tunaweza ongea tukaganya exchange?
 
io laptop mzee baba, kula 150
 
Hyo printer iko wap....tuonyeshe picha mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…