TV4Sale Nauza ps 3

dullydon

Member
Joined
Dec 12, 2016
Posts
81
Reaction score
30
Kipindi hiki cha mvua bila shaka madishi yetu hayafanyi kazi vizuri luningani. Tumia fursa hiyo kucheza game kwa kutumia ps 3.
Naibwaga kwa bei poa kabisa
 
Kukusaidia mkuu weka picha, bei yake, je ni mpya au used? Ina pad ngapi...
 
Kipindi hiki cha mvua bila shaka madishi yetu hayafanyi kazi vizuri luningani. Tumia fursa hiyo kucheza game kwa kutumia ps 3.
Naibwaga kwa bei poa kabisa
We jamaa hebu kuwa serious,unaletaje tangazo la business kihunihuni namna hii.Hebu jieleze vizuri bana,inawezekana tukawa tunahitaji huu mzigo but uwasilishaji wako sio mzuri..Tupe vitu vivuatavyo.
1.picha yake halisi ya sasa hivi.
2.bei yake.
3.mawasiliano yako.
 

Rangi nyeupe
Haina pad
Power cable na hdmi cable unapata
Hd 398~400 gb
Bei 250,0000
Mtumba safi
Haina tatizo lolote la kiufundi

Contact 0713088747
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…