BLUE BALAA
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 1,222
- 776
Nuza Rav 4 ya mwaka 1996 kwa Tshs 6m.
Five doors, well maintained, engine in good condition nimetoka nayo Tanga juzi.
Yeyote anehitaji ani PM
Photos please!
Sina picha if you are interested just PM
Photos please!
Sina picha if you are interested just PM
Kama ungeweka picha, ingeshawishi watu wengi zaidi kukutumia PM. Pia hujasema kama ni manual au auto, mafuta gani inatumia, imeshachapa lapa kms ngapi, etc.
Weka picha kaka - biashara matangazo
Wewe umeshaambiwa ya mwaka 96 unataka photo ya nini tena? tujitahidi kumiliki gari za kuanzia date of manufacture ya mwaka 2000 mpaka 2010. nyuma ya hapo hizo no screper.
kwa nini umeamua kuuza kwa bei ndogo hivyo?
Nataka iende fasta, haina shida yeyote
Kwa hiyo kumbe shetani one ndiyo blue balaa. thanks and noted with thanks.
Kms 138,000 manual gear, petrol engine iko Arusha.
Serious buyer can PM me
Majina tu mmmmhhhh!!!!!:shock:duuu.....mwenye gari ni SHETANI ONE ... BLUE BALAA ni dalali.....