Nauza redio call

stabilityman

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2024
Posts
259
Reaction score
483
Nilinunua 150,000
Kwa sasa sina kazi nayo zipo 2 unaweza kuongea hadi km 15 hadi 20km
Kwa sasa sina kazi nayo nauza bei ya hasara 100,000 zipo banana
0743257669
Kwa msiojua unaweza kuongea na mtu bila kutumia vocha wewe ni kuichaji tu kwa kampuni za ulinzi
Godauni,mashambani,kiwanda hii itakufaa
 
Bei sio mbaya
 
Nenda kampuni za ulinzi......kawauziee
 
Mkuu zipo Kariakoo zinauzwa madukani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…