Phone4Sale Nauza Redmi Note 7 Blue *Brand New*

eli_dealz

Senior Member
Joined
Jan 19, 2020
Posts
177
Reaction score
107
Nauza Redmi Note 7 Blue.
Brand New and straight From Xiaomi

Global ROM (Ina full google apps pamoja na google playstore + ni multilanguage)
ROM ni 64GB
RAM 6 GB
6.3'' inch display
Snapdragon 660 Processor
48 MP Camera

Line mbili na inasupport 4G mitandao yote Bongo
Battrey kubwa 4000 Mah (It can last one to two days with heavy usage)

Ndani ya box unapata pia:

Free clear cover
10 watt charger

Price: IMESHAUZWA!
Contact:
IMESHAUZWA!
Location: IMESHAUZWA!













SIMU IMESHAUZWA
 
WHY UNASEMA PRICE NZURI? NIELEWESHE KWA UZURI
Kuna YouTube video nimeweka chini kabisa ya post.. ikiringanisha Hii Redmi Note 7 ila yenye 4GB vs Samsung A50

Ukiangalia hiyo video utaona Redmi Note 7 anamzidi huyo Samsung..

Sasa hii ni ya Ram GB 6 kubwa kuliko, hiyo kwenye video.. nauza 440k


Ukicheki Samsung A50 bei yake ni zaidi ya 550k.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…