Sorry kaka hiyo bei ni ya redmi 7 ambayo sio note na kwa 32GB/3GB.. kwa hii hapo utakuwa umenionea. Ongeza ongeza alafu nicheki kwenye namba yangu tuyajenge.
Kama watu wanafika 400k chukua coz hyo 470 unapata redmi note 8 aliexpressSimu bado ipo,, karibuni wadau
Kama watu wanafika 400k chukua coz hyo 470 unapata redmi note 8 aliexpress
Sent using Jamii Forums mobile app