Nauza rice thresher machine ziko Dodoma

Nauza rice thresher machine ziko Dodoma

king wa kings

Member
Joined
Jun 7, 2023
Posts
65
Reaction score
94
View attachment 2662875

Kwa wadau wa kilimo nchini tafadhari karibuni Mashine ni Diesel Engine HP 16 2200 RPM Uzito wa body na Engine jumla ni Kg 165 Inauwezo wa kupiga Kg 1000 kwa saa inafaa kwa kupigia Alizeti ,Mpunga, Mtama na Uwele mashine mpya inapatikana kwa tsh 7.5M badala 9.5M na used iliyotumika mwaka mmoja ni Tsh 6.5M badala 7.5M tunatoa punguzo kuweza saidia wakulima wadogowadogo kwa mhitaji mawasiliano kwa watsap kupitia namba kupata picha na video karibuni
 
Back
Top Bottom