Nauza saluni nzima ya unisex million 2.5 tu!

Sababu za kuacha biashara na kuamua kuiuza nini hasa, lazima kuna makinikia yaliyojificha.
 
orodhesha vitu vilivyopo vyotee kama vile kuna viti vingap mashine ngap dry ngap vioo vingap nadhan umenielewa
 
Hiyo saloon inaitwaje? Nikitaka nije kuiona?
 
orodhesha vitu vilivyopo vyotee kama vile kuna viti vingap mashine ngap dry ngap vioo vingap nadhan umenielewa

Location :Buza
Kodi ya mwezi:70000 ipo barabarani kabisa,imeisha leo kodi.
Luku: watu 2
Drier: zipo 2 za
Steamer 1
Viti 3
Chanzo cha maji: yalikuwa ya bomba yamekatwa jana(dawasco)
Drier ya mkono 1
Pasi ya nywele 1
Washing basin
Back up generator:No
Vioo vikubwa 2 vya ukutani 1
Vikabati vyenye draws
Treys na rollers
Ruksa kuja kuviona
Kama upo intetested check me

Bonus mafuta,spray,na vibanio pamoja na rollers
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…