Sehewa sio samaki wa kula aiseeSijakuelewa
Wabaya kivipi ?
Sio kila kitu kinaliwa kwa ajili ya afya. Vingine tunakula kwa kuwa ni vitamu, mfano chipsi yaiHebu achaneni na stori za yupi mtamu zaidi; mention the health benefits of each! Tuzingatie faida za kiafya zaidi kuliko utamu wa mdomoni.
Ni sawa na Ngisi na Dome, wanaufanano flani hivi, kwa wavuvi na walioshio pwani ya bahari ndio wanaweza kuwatofautisha. ila dar watu wanauziwa Dome wanaambiwa ni ngisiJodari na sehewa ni tafauti ingawa wanafanana umbo. Aliyepewa hadhi kubwa ni jodari.
Kanadi hafanani na jodari wala sehewa. Anafanana na nguru.
Dar watu wanauziwa sehewa na kuambiwa ni jodari na wanauziwa kanadi na kuambiwa ni nguru.
Plastic ndiyo mbaya zaidi mkuu, usitumie tafadhaliSijawahi kupata kesi kuhusu ubao.. ila asante kwa ushahuri, nitatafuta kile cha plastic
Hao tunawaita vibua damu(damudamu)Mbona huwa nawanunua na nawaita jodari. Au jodari ana species
NipigieFanya 10000,
Wenzako wengi wanauza samaki wabichi kwa kipimo cha kilo! Inakuwaje wewe unauza mmoja mmoja kwa elfu 12?Wakuu habari
Nina aina hii ya samaki Jodari wadogo.. Ni samaki mwenye stake nyingi kuliko miba.. Ni mzuri na ni mtam sana.
Kama upo hapa Dar, nakuletea mpka ulipo , gharama za usafiri inategemea mahali ulipo.
Bei ni 12000 tu, kwa mmoja
0616274277.
Napatikana Kigamboni
View attachment 3353575View attachment 3353576View attachment 3353577View attachment 3353578