THE SHADOW ONE
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,201
- 1,974
Napatikana musoma mjini. Popote ulipo mzigo unakufikia.Uko wapi?
Ukihitaji kuweka order ntakupa mawasilianoUna maana gani kusema kwamba, "Kwa wateja wanaohitaji mzigo wasiku-pm". Watakupata vipi sasa? Unataka mtu amwage order yake hapa hapa, siyo? π
Unatuma kuanzia kilo ngapi
Mimi nahitaji nipe mawasilianoUkihitaji kuweka order ntakupa mawasiliano
PillowTalk:Mimi nahitaji nipe mawasiliano