Nauza samaki( pelege )wa kufuga

jail

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
477
Reaction score
179
habari.nauza mbegu za pelege yani tilapia ni size ya kati sh 200 kila samaki.ni kwa wanaotaka kufuga.karibuni
 
Tusaidie tusio wafugaji kwa kutoa kaelimu kidogo namna ya ufugaji wake.
 
habari.nauza mbegu za pelege yani tilapia ni size ya kati sh 200 kila samaki.ni kwa wanaotaka kufuga.karibuni

Unauzia hapa hapa kwenye thread ama!? weka tangazo lililojitosheleza likionyesha uko wapi..
 
uko wap na muhmu zaid tupe kaelimau kdgo tufunguke
 
Tilapia ni sato... sio perege..

na ni perege sio pelege
 
Niko dar es salaam mobile;0755 454 829 karibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…