TV4Sale Nauza Samsung 32' lcd flat screen kwa bei ya Tsh.150,000/=

TV4Sale Nauza Samsung 32' lcd flat screen kwa bei ya Tsh.150,000/=

The last don

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2011
Posts
1,053
Reaction score
1,232
Wadau wangu wa Jamii forums
Nauza Samsung 32' lcd flat screen kwa bei ya Tsh.150,000/=
TV hii inachangamoto ya kuzimaa kilaa ikipata moto
sihitaji kuipeleka kwa Fundi
anayehitaji ajee achukue kama ilivyo
Specs.
Model: Samsung
Model code:LA32C450E1SJ
3HDMI PORTS
1VGA PORT ( Unaweza tumia kama PC monitor)
1USB PORT
BUILT IN FM TRANSMITTER
PC/DVI AUDIO IN.
napatikana mabibo external (0621973591)
Video ikiwa inaplay tunatest kabla hujachukua au Whatsap nitakutumia.

JPEG_20211119_140553_4546755554654989052.jpg
JPEG_20211119_140856_816612529028435399.jpg

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Kaka nawezaji kutumia kama MONITOR wakati ikipata moto inazima ?

Je ushawahi ulizia tatizo ni nini ?
 
Ushauri wangu.

Ungeitengeneza ukamuuzia mtu.

Ikitengenezwa itaweza kukaa hata miezi sita au zaidi bila hiyo shida kujionyesha.

Ila ukiuza ikiwa hivyo kisha mteja akaitengeneza ikimuanzishia hayo maigizo ataanzs kukulaani
 
iyo imeishatengenezwa imebuma ifuate uone kama scree hazijafunguliwa kuwen makini na kauli za siitaji kupeleka kwa fundi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
iyo imeishatengenezwa imebuma ifuate uone kama scree hazijafunguliwa kuwen makini na kauli za siitaji kupeleka kwa fundi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Huu ni mtazamo wako chief,namimi ni muumini mzuri sana wa kukubali kutokukubaliana...Naiuza kwa sababu ni mbovu sina matumizi nayo na mafundi wetu wengi pasua kichwa,nimeupgrade hiyo ni ndogo kwa sasa kwangu sihitaji kukimbizana na mafundi...
hivyo nimeiuza kama ilivyo nikiwa nimetangaza kabisa ugonjwa wake ili kama kuna fundi au mtu anaimudu basi anaichukua.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Ushauri wangu.

Ungeitengeneza ukamuuzia mtu.

Ikitengenezwa itaweza kukaa hata miezi sita au zaidi bila hiyo shida kujionyesha.

Ila ukiuza ikiwa hivyo kisha mteja akaitengeneza ikimuanzishia hayo maigizo ataanzs kukulaani
Asante Chief,Nimeona bora niiuze kama ilivyo ili mafundi wanaojua hayo magonjwa wajiripue nayo kwa vile sihitaji kukimbizana nao.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Kwa atakaye hitaji TV flat-screen ina king'amuzi cha ndan moja kwa moja , Startimes inch 28 karibu.. Bei maelewano
 
Mimi nina Boss 32" inch. Ilizima taa nikapeleka kwa fundi ikakaa sawa kwa 40k. Baada ya muda ikazima tena sikupeleka tena nikanunua nyingine. Anayehitaji alete ofa yake nimuuzie.
Wewe ndio unayeuza , ukisema mtu atoe offer yake, kwa biashara ya sasa ni ngumu, wewe weka bei mtu ataanzia hapo kutaja bei yake!!ikifikia 80, 000 nishitue!!
 
Back
Top Bottom