The last don
JF-Expert Member
- Aug 3, 2011
- 1,053
- 1,232
iyo imeishatengenezwa imebuma ifuate uone kama scree hazijafunguliwa kuwen makini na kauli za siitaji kupeleka kwa fundiUshauri wangu.
Ungeitengeneza ukamuuzia mtu.
Ikitengenezwa itaweza kukaa hata miezi sita au zaidi bila hiyo shida kujionyesha.
Ila ukiuza ikiwa hivyo kisha mteja akaitengeneza ikimuanzishia hayo maigizo ataanzs kukulaani
Huu ni mtazamo wako chief,namimi ni muumini mzuri sana wa kukubali kutokukubaliana...Naiuza kwa sababu ni mbovu sina matumizi nayo na mafundi wetu wengi pasua kichwa,nimeupgrade hiyo ni ndogo kwa sasa kwangu sihitaji kukimbizana na mafundi...iyo imeishatengenezwa imebuma ifuate uone kama scree hazijafunguliwa kuwen makini na kauli za siitaji kupeleka kwa fundi
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nipe offer bosi kama unaimudu.Kwanini unauza Bei kubwa hvyo?
Asante Chief,Nimeona bora niiuze kama ilivyo ili mafundi wanaojua hayo magonjwa wajiripue nayo kwa vile sihitaji kukimbizana nao.Ushauri wangu.
Ungeitengeneza ukamuuzia mtu.
Ikitengenezwa itaweza kukaa hata miezi sita au zaidi bila hiyo shida kujionyesha.
Ila ukiuza ikiwa hivyo kisha mteja akaitengeneza ikimuanzishia hayo maigizo ataanzs kukulaani
Bosi wangu kujizima ndio ugonjwa wake,nimesema inaweza tumika pia kama monitor kwa vile ina VGA card.Kaka nawezaji kutumia kama MONITOR wakati ikipata moto inazima ?
Je ushawahi ulizia tatizo ni nini ?
Shida matengenezo
Bei ya kuanzia. Brand gani.Kwa atakaye hitaji TV flat-screen ina king'amuzi cha ndan moja kwa moja , Startimes inch 28 karibu.. Bei maelewano
Karibu mkuu TV bado mpya kabisa ata miezi mitatu haijamaliza.. Bei yake inaanzia 250,000/= Brand startimes. Pia unaweza kutumia king'amuzi cha nje cha aina yoyoteBei ya kuanzia. Brand gani.
Hizi hapa chief...View attachment 2016515Mbona umepiga picha kwa nyuma tu iwashe tuone picha yake ilivo
Wewe ndio unayeuza , ukisema mtu atoe offer yake, kwa biashara ya sasa ni ngumu, wewe weka bei mtu ataanzia hapo kutaja bei yake!!ikifikia 80, 000 nishitue!!Mimi nina Boss 32" inch. Ilizima taa nikapeleka kwa fundi ikakaa sawa kwa 40k. Baada ya muda ikazima tena sikupeleka tena nikanunua nyingine. Anayehitaji alete ofa yake nimuuzie.