Old pirate
Member
- Nov 20, 2018
- 28
- 24
- Thread starter
-
- #21
Ni kweli usemalo lkn ningeweka bei zaid ya hapo nicngepata ata wakucoments tu.Lkn c mbaya kwasababu bihashara ni maelewano na kuridhia uwez nunua ktu bila kukikaguabei ikiwa rahisi sana huwa inatia mashaka.. hata kigari vitz tu ukiambiwa unauziwa kwa laki 5 lazima machale yakucheze
Naomba unitumie model namba yake na serial imei yake mkuu alaf tufanye biasharaSamsung galaxy note 8plus 64gb android version 7.0 ipo poa imetumika mwez mmoja tu nnashida na pesa naiuza Tsh 290,000/=Tu.Dukani ni zaidi ya Tsh 800,000/=Napatikana kihonda Morogoro 0688884385View attachment 951253View attachment 951254View attachment 951257View attachment 951253View attachment 951254View attachment 951257
Nimeingia google nimeserch weeee sijaona simu inayoitwa Sumsung Galaxy Note 8 Plus!Siyo kwa bei hiyo aiseeeh
Jamaa ashapigwa tayariHa ha ha ha ha naheshimu biashara yako ila nafikr ulitakiwa kuongeza na neno Clone kuweka uhalisia zaid
Ni copy hii,hakuna jingine zaidi ya hiloHa ha ha ha ha naheshimu biashara yako ila nafikr ulitakiwa kuongeza na neno Clone kuweka uhalisia zaid
Sorry mkuu mzigo ushaondoka ndo natoka kuukabidhi sasa hvNaomba unitumie model namba yake na serial imei yake mkuu alaf tufanye biashara
Fake compliteSamsung galaxy note 8plus 64gb android version 7.0 ipo poa imetumika mwez mmoja tu nnashida na pesa naiuza Tsh 290,000/=Tu.Dukani ni zaidi ya Tsh 800,000/=Napatikana kihonda Morogoro 0688884385View attachment 951253View attachment 951254View attachment 951257View attachment 951253View attachment 951254View attachment 951257
Mkuu chukua elfu 30 halafu nikuombee na maombi ya nguvu ili shida zako zote ziishe halafu wewe unipe hiyo simu.{jus kidin}Samsung galaxy note 8plus 64gb android version 7.0 ipo poa imetumika mwez mmoja tu nnashida na pesa naiuza Tsh 290,000/=Tu.Dukani ni zaidi ya Tsh 800,000/=Napatikana kihonda Morogoro 0688884385View attachment 951253View attachment 951254View attachment 951257View attachment 951253View attachment 951254View attachment 951257
Ha ha ha ha ha naheshimu biashara yako ila nafikr ulitakiwa kuongeza na neno Clone kuweka uhalisia zaid
Wasukuma wepesi kutapeliwa....Nipo shay naipataje?
Hakuna note 8 plus kuna note 8 inayojulikana duniani hiyo ni copy hata muonekanoSamsung galaxy note 8plus 64gb android version 7.0 ipo poa imetumika mwez mmoja tu nnashida na pesa naiuza Tsh 290,000/=Tu.Dukani ni zaidi ya Tsh 800,000/=Napatikana kihonda Morogoro 0688884385View attachment 951253View attachment 951254View attachment 951257View attachment 951253View attachment 951254View attachment 951257
Hii ndo halisiHakuna note 8 plus kuna note 8 inayojulikana duniani hiyo ni copy hata muonekano View attachment 951420